Mwanamuziki maHarufu Nchini Uganda Bebe Cool ameweka bayana kuwa kwa sasa yeye ni mpenzi mkubwa wa mchezo kamari,Bebe amesema kuwa amejifunza mchezo huo mienzi mitatu iliyopita ila kwa sasa yeye,amekuwa ni mlevi wa mchezo huo ila tangu alipoanza kushiriki katika mchezo huo amefanikiwa kushinda zaidi ya Shilingi millioni 17 tu za Uganda,ila hakutaka kusema ni shilingi ngapi ambazo ameshatumia mpaka sasa, tangu alipoanza kucheza..ila alitoa husia kwa wale wanaocheza kuwa wasichukulie mchezo huo kama kazi maaana unaweza ukafilisika...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








