Mwanamuziki Dully Sykes afungua studio nyingine,Mambo yamemkalia pazuri staa wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully’ baada ya kufungua studio mpya ya kurekodi muziki.Studio hiyo aliyoipa jina la 4.12, ipo Tabata, Dar es Salaam na itakuwa ikirekodi aina zote za muziki.,Pamoja na matangazoStudio hiyo ni ya pili baada ya ile ya Dhahabu Records ambayo mwanamuziki huyo aliifungua zaidi ya miaka mine iliyopita.imeelezwa kuwa studio hiyo itafanya kazi kwa kujitegemea, ikiwa na maprodyuza wake wenye uwezo mkubwa.Imebainishwa kwamba kwa upande wake (Dully), atakuwa anapiga mzigo kwenye studio zote hizo kulingana na matakwa ya wateja wake...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.