Siku kadhaa baada ya single ya Biberon kufanya vyema kwenye vituo vya radio na televisheni, Dully sykes ameweka wazi kwamba pamoja na kufanya vizuri kwa track hiyo bado hajapata show zozote kutokana na pini lenyewe.Dully ametangaza rasmi kushusha bei ya show zake kuanzia leo kwa muda wa miezi miwili ijayo.Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni miezi hii kuwa mibaya kifedha, hivyo kutoka milioni tano aliyokua anataka kwa show moja, sasa anakubali mpaka milioni 3.5 kwa show moja.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








.jpg)