Google PlusRSS FeedEmail

TUNZO ZA GOLDEN GLOBES 2012 ZAFANA

Tunzo za 69 Golden Globe,zilifanyika huko Beverly Hills,katika hotel Beverly Hilton Hotel ambapo wasanii waliofanya vyema katika tansia ya filamu katika kipindi cha mwaka 2011 walipata tunzo zao..baadhi ya washindi wa tunzo hizo ni mcheza filamu Christopher Plummer, ambaye alishinda tunzo ya Best Supporting Actor in a Motion Picture Drama award... Kate Winslet, yeye alishinda tunzo ya Best Actress in a Mini-Series Kelsey Grammer, Best Actor in a TV Drama,Peter Dinklage for “Game of Thrones”, while the Best Animated Film award was won by “The Adventures of Tintin, Claire Danes for “Homeland”, Best Director, Meryl Streep for “The Iron Lady”Hao ni baadhi tu ya washindi kwa washindi zaidi tembelea www.goldenglobesaward.com
Naye mwanamuziki Lady Madonna alishinda tunzo ya Best Original song - Motion Picture

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging