Baada ya kupata mtoto wa kike Rapper Jay Z,ameweka bayana kwamba kuanzia sasa hata tumia maneno machafu yenye 'FFF' Maneno yenye ukali [MATUSI} katika nyimbo zake mpya,amesema anataka kumkuza binti yake katika maadili "najua atakuwa akipenda kuimbakama sisi wazazi wake sasa akikalili mashairi ya baba yake then akataja hizo FFF inakuwa haipendezi katika Jamii nzima,"Huwezi kuwa baba bora wakati unatukana hovyo nahahidi sitatumia maneno mabaya katika kazi zangu zote zijazo"
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








