Msanii wa amuzki wa kizazi kipya H-Baba ameiambia Pro-24 kuwa yale matarajio yake ya kufunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake Flora Mvungi,ambaye nae ni muigizaji wa filamu nchini,amesimamisha wazo lake hilo.ameongeza kwa kusema Mrembo huyo ndio chanzo cha yote kwa maana mara baada ya wazo hili kuja Flora alianza kuwa na sababu nyingi na zisizo na msingi,Kwa upande wa Flora mwenyewe alisema hataki kuolewa na H- Baba,na yeye na H-Baba ni kama kaka na dada kuanzia sasa.H-baba aliongeza kwa kusema wasanii wa fiamu nchini hasa wa kike wanajiona wao ndio wanawake wazuri kuliko wanawake wengine,na hilo ni kutokana na wasanii hao kutongozwa na wanaume kila kukicha..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








