J4c a.k.a. Jooson round ingine tena aja kijamaica zaidi na time hii brother amepita juu ya "heart & soul riddim" toka visiwa vya reggae na track aloipa jina "Wish u to stay"Pini limerekodiwa pande za noizmekah.com chini ya defxtro na ni zawadi kwa mashabiki wa J4C...Inasemekana ngoma hii ni special kwa mwanadafada mmoja mwenye ukaribu na msanii J4c japo mchizi mwenyewe asema,"Hii track ilitokana na feeling ambazo ile riddim ilinipa,nyimbo ni kuhusu real love na kusema kweli brother Dbanj hakukosea kusema Love is a beautiful thing,when u love the right person so na mimi nasema we all gotta be strong so that our love survives!shout out kwa lovers wote wa reggae riddim music!!!one love...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.