Google PlusRSS FeedEmail

MAALMANDO TOKA A-TOWN WAACHIA NGOMA MPYA

Machalii wa Arusha Ndugu pacha na Jambo squad wanaofahamika zaidi kama MAALMANDO,wanakuja na pini brand new la "RAKATA" ikiwa ni genre ya kwaito-mdundix ikiwa ni brand new style mojawapo wanayokuja nayo wasanii  hawa wenye maskani yao pande za Arachuga mtaa wa cheka na mecca!Ngoma tumerekodi kwa Defxtro a.k.a DX pande za noizmekah.com juu ya beat la producer Mosco wa PYG Majengo apa apa pande za ARA,Maalmando tunawaahidi fans wetu mwendelezo mnene katika muziki huu mwaka 2012 na mpango mzima ni hela so tuendeleze hasoling kusakanya dinari arif...ooooooH

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging