Google PlusRSS FeedEmail

MACHAFUZI UNIT WAJA NA NGOMA KATIKA STYLE YA HIPHOP

Sheezy & Gsq toka Tengeru Arusha ambao kwa pamoja wanajiita "Machafuzi Unit" wanakuja na track yoa ya kwanza kabisa inayokwenda kwa jina la "Vita" walorekodi vocals pande za Noizmekah. chini ya defxtro na beat ikiwa ni mkono wao wenyewe,Ngoma hii ya niondoko ya kughani inazungumzia maisha na hustling za machafuzi katika game...Support sana kwa machizi wa street arachuga hiphop city mwanzo mwisho!!!ooooooi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging