Google PlusRSS FeedEmail

TANGU ENZI ZA USICHANA WANGU NILITAMANI KUOLEWA NA MTU ALIYENIZIDI UMRI

Mwigizaji Mercy Aigbe amesema sababu kubwa ya yeye kukubali kuolewa na mtu mzima,ilikuwa ni nadhiri yake mwenyeweMercy amesema nilikuwa natamani sana kufunga ndoa na mtu aliyenizidi umri kwa kuwa wanaume wa sampuli hiyo huwa wana mapenzi ya kweli tofauti na vijana ambao bado damu zao zinachemka..kwa kweli kama ndio ningekuwa nimeolewa na kijana kwa maneno yaliosemwa juu yangu hakika ningekuwa nimeshaachika ila wamesema sana kwasababu mume wangu amekomaa ki akili ameyapuunzia na ndio maana mpaka leo ndoa yangu iko sawa.vyombo vya habari viandike ipo siku vitaacha..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging