Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya,Hamad Ally Madee .,ambaye pia ndie kiongozi wa wanamuziki wanaunda kundi la Tip Top Connection,lenye maskani yake,Manzese Jijini Dar es Salaam.Amesema na kukanusha uvumi kuwayeye na mwanamuziki Afande Sele wako katika ugomvi.Amesema kilichosababisha uvumi huo ni kutokana na tungo zake,kuwa na mistari ambayo inatia utata..Aliongeza kuwa mara nyingi tungo zake huwa ni kwa ajili ya kuelimisha tu,sasa kama watu wanatafsiri tofauti ,hayo ni mawazo yao ila alimalizi kwa kusema sina Bifu lolote na Afande..
Haya yote yamekuja mara baada baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kuwa afande amesikika,katika vituo mbali mbali vya radio akidai kuwa katika nyimbo yake ya pesa kuna mstari kwamba alimtukana,pia afande alisikika akisema anashangaa sana huyu jamaa anavyosema kuwa raisi gani wakati hana ofisi..