Google PlusRSS FeedEmail

WAHU - "STILL A LIAR' SI DONGO KWA NAMELESS

Wakati gumzo likizidi kuongezeka huko Nchni kenya kuwa wanandoa wawili ambao pia ni wanamuziki ndoa yao imevunjika,Mara baada ta uvumi huo kuzidi kusambaa Africa ya Mashariki,Mwanamama Wahu meibuka na kusema kuwa ndoa yao iko imara na wanaendelea na malezi ya mtoto wao kama kawaida,aliongeza hao wanaosambaza uvumi huo wana yao...Wahu kwa sasa ana ngoma yake mpya inayokwenda kwa jila la Still a Liar,Ngoma ambayo watu wengi wanasema kuwa ni dongo kwenda kwa mume wake...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging