Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA YA SPEAK WITH YOUR BODY AY ACHIA I DON'T WANNA BE ALONE

Wakati bado akizidi kupata mafanikio lukuki,mwanamuziki Abwene Yesata 'AY'Ameachia track mpya ambayo inakwenda kwa jina la I don’t Wanna be Alone, Track ambayo inaunyesha ni kiasi gani Ay ana uwezo katika kuandika mashairi na kunata kwenye Beat..
Ngoma hiyo, ina vionjo adimu ambavyo ni rahisi kumuuza AY kwenye anga za kimataifa, pengine kuliko wimbo wake wowote ule.katika wimbo huo amewashirikisha wasanii kutoka nchini kenya wanajulikana kama Sauti SoulMwanamuziki huyo mwaka jana aliweza kusafiri mpaka nchini marekani na kufanya Track Lil Romeo Ngoma ambayo ilimpatia heshma kubwa Africa ya mashari vilevile ngoma hiyo inazidi kufanya vyema katika vituo mbalimbali vya radio hapa nchini na Africa ya Mashariki kwa UjumlaNgoma hiyo inaitwa Speak With Your Body na imerekodiwa kwenye Studio ya No Limit chini ya producer mkali duniani, Master P.Video ya Speak With Your Body, imerekodiwa huko Hollywood, Marekani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging