Msanii MB anayetokea pande za Terat,anakuja na pini jipya la "Life Game" alorekodia noizmekah. chini ya producer DefXtro,Muziki anaofanya mchizi ni hiphop,"Nipo karibu nanyi fans wangu mtegemee nyimbo zingine kali toka kwangu,Shout out kwa ORS pande za Terat mana ndipo niliporekod ngoma yangu ya kwanza na ikanitambulisha katika game la muziki,shukran kwa ma dj wote tanzania kwa support,kazi ambayo nitaiachia baada ya hii itakuja kwa jina la "Live bila Chenga...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.