Google PlusRSS FeedEmail

MEL GIBSON YUKO KATIKA HATUA ZA MWISHO KUKAMILISHA TARATIBU ZA TALAKA

Mcheza filamu kutoka Hollywood Mel Gibson yuko katika hatua za mwisho kukamilisha taratibu za kisheria kuhusiana na Kumptia aliyekuwa mke wake Robyn.Gibson anatarajiwa kumlipa mke wake kiasi cha fedha kinachokadiliwa kufikia dolla za Kimarekani Million 290 sawa na Pesa za Kitanzania zaidi ya Billion 450..Wachambuzi wa mambo wanasema kwamba kama Gipson atafanikiwa kumlipa fedha hizo mtalaka wake itakuwa ndio talaka Ghali kutokea kwa wacheza filamu.Mbali na kumlipa kitita hicho bado atakuwa na kibarua cha kulipa karo na garama za watoto wake mpaka watakapojiweza kujitunza wao wenyewe..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging