Google PlusRSS FeedEmail

MSANII WA FILAMU JOHARI APATA AJALI YA GARI

Msanii wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ amepata ajali mbaya ya gari,Johari, amepata ajali hiyo Ubungo Mataa, Dar es Salaam, baada ya kugongana uso kwa uso na gari lingine.Ambalo number zake hazikuweza kufahamika..Taarifa za ajali hiyo, zimethibitishwa na Johari mwenyewe ambaye alimueleza ripota wetu kuwa anamshukuru Mungu kupona kwa sababu ajali ilikuwa mbaya.
“Kwa kweli Mungu ni mkubwa na ni mwema sana. Ajali ilikuwa mbaya na siamini kama nimetoka salama,” alisema Johari na kuongeza kuwa gari hilo alikuwa anaendesha yeye mwenyewe.Hata hivyo, Johari hakutaka kueleza alikuwa na nani kwenye gari hilo aina ya Toyota Opa...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging