Google PlusRSS FeedEmail

SAUTI ZA BUSARA KUANZA KURINDIMA KUANZIA FEB 8 - 12 HUKO UNGUJA ZANZIBAR

Wakati wadau wakizidi kusubiri kwa hamu Tamasha kubwa ambalo hujulikana kama Sauti za Busara,tamasha ambalo litaanza rasmi 8 Februari 2012,hadi tarehe 12 Februari 2012...Taamasha ambalo hufanyika Ngome Kongwe huko Unguja Zanzibar tayari ,majina ya vikundi vya wasanii vitakavyotumbuiza katika tamasha hilo vimetajwa kutoka Tanzania ni Lady Jaydee,Fm Academia,Super Mazembe - DRC/KENYA,Nneka Nigeria,Tumi&The volume-South Africa,Ary Morais (Cape Verde)Na wengine wengi inasadikika zaidi ya wasanii mia nne watashiriki katika tamasha hilo la aina yake na wasanii wote watatumbuiza katika jukwaa moja...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging