Mwanamuziki Charles Baba mara baada ya kujitoa katika band yake Twanga Pepeta,ametangaza rasmi kujiunga na Bendi ya mashujaa Band,Charles Baba akiyasema hayo mara baada ya kutokea Nchini Dubai ambapo alikwenda kwa ajili ya mapumzikiko mafupi,aliongeza kuwa alipokuwa Dubai amefanikiwa kuandika nyimbo mbili mpya ambazo wapenzi wale wataanza kuzisiki rasmi kuanzia Ijumaa Hii katika ukumbi wao wa Nyumbani Bisiness ambao upo kijitonyama jijini Dar es salaam...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.