Google PlusRSS FeedEmail

NDOA YA RUSSELL BRAND NA KETY PERRY YAFIKIA TAMATI

Mchekeshaji Russell Brand ,ameamua kuachana na mwimbaji Katy Perry baada ya ndoa yao kudumu kwa takribani miezi 14 tu,.Wanandoa hao walianza mahusiano Tangu mwaka 2008 ila wakaja kufunga ndoa mnamo mwaka 2010 mwezi Octoba huko nchini India.Tayari Brand ameshaanza taratibu za kuachana na mpenzi wake huyo kwa kujaza fomu za talaka katika mahakama moja hulo Los Angeles.Tangazo la kutengana kwa wanandoa hao limekuja mara baada ya kuripotiwa kuwa wanandoa hao wako katika mgogoro.Kila mmoja atasheherekea sikuu ya mwaka mpya kivyake.Brand 36 yuko huko Cornwall wakati Katy yuko huko Hawaii na jamaa zake wa karibu.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging