Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE AND JAY-Z BLUE IVY'S PUBLIC DEBUT

Kwa mara ya kwanza Beyonce na Mumewe Jay Z wamemtoa mtoto wa hadharani tangu kuzaliwa kwake..Mtandao wa Tmz umefanikiwa kuonyesha  picha za Mwanamama Beyonce na mumewe kwa pamoja  wakiwa na mtoto wao katika viunga vya Jiji la New York..Mtoto huyo ambaye ni wa kwanza kwa Beyonce  "Blue Ivy"Beyonce alionekana akiwa na binti yake huyo katika mgahawa mmoja unaojulikana kama  Sant Ambroeus Jijini New York walipokuwa wakipata mlo wa mchana.Beyonce na Jay Mda wote walionekana wenye furaha kubwa..
Watatu hao walikuwa chini ya ulinzi mkali wa walinzi wao hasa walipokuwa katika mgahawa wa Sant Ambroeus kabla ya kuelekea katika baa moja iliyojulikana kama West Village..Wazaz hao walishangaza watu waliokuwa karibu kwa maana walimuanika mtoto huyo hadharani bila chenga..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging