Google PlusRSS FeedEmail

ORIGINO KOMEDI "TUKO LIKIZO TUTARUDI HEWANI SOON"

Mara Baada  ya magazeti mengi ya udaku jana nchini kuandika kwamba lile kundi la vichekesho nchini Original Komedi,ambalo linaonyesha vichekesho vyako kwenye runinga ya Taifa Tbc 1,kwamba limesambaratika ni uzushi mtupu...Kwa mujibu wa kiongozi na muasisi wa kundi hilo Sekion David amesema “Hayo ni maneno ya uzushi ya watu, mambo yetu sisi huwa hatupendi kuyazungumza hadharani, watu wako likizo baada ya muda watarudi hewani, ukienda kwenye website yetu huwa tunaandika kila kinachoendelea, hizo taarifa hazina ukweli wowote”Hata hivyo kwenye website yao, kuna tangazo linasema Orijino Komedi na timu nzima itakua likizo kwa mwezi january 2012 tu, baada ya hapo watarudi kazini.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging