Mwanamuziki kutoka Afrika ya kusini ambaye anatamba na single yake ambayo ameipatia jina la Facebook,Dj Cleo wiki iliyopita alianguka nyumbani kwake katika eneo la Honeydew kwa kuugua maradhi ya Appendix.Dj Cleo ambaye alikimbizwa hospitali na mkewake, alifanyiwa upasuaji Jumanne usiku.‘Nilifikiria kwamba ninakufa kwa jinsi nilivyosikia uchungu mkali tumboni kabla ya kuletwa hospitali Jumatatu. Namshukuru Mungu naendelea vizuri,
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








