Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA KUWATESA KWENYE FILAMU SASA MAUNO

Mwigizaji filamu Swahiliwood Zuwena Mohamed’Shilole’ amesema kuwa baada ya kufanya vizuri katika filamu na kuonyesha upinzani kwa waigizaji wengine wa kike na kuwafunika ameingia katika fani nyingine ya muziki ili aweze kuwakimbiza huko na kuongeza mashabiki kwa kila fani anayofanya kwani lengo lake ni kuwaburudisha wapenzi wake wa filamu na muziki pia Kila mtu anamjua Shilole katika tasnia ya filamu kwa uwezo wake wa kuigiza, naweza kusema kuwa sina mpinzani katika filamu nafasi yangu ipo kubwa, lakini katika kuonyesha uwezo wangu kwa sasa nipo katika maandalizi makubwa ya kurekodi album ya muziki wangu na tayari nyimbo mbili zipo tayari na zinafanya vema Redioni.Shilole nyimbo alizotoa ni Mwanaume dada aliomshirikisha AT, na nyumba za kupanga aliomshirikisha Q Chilah.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging