Msanii Erykah Badu kufungiwa kupiga matamasha nchini Malaysia kutokana na tattoo yake ya mdaa (Temporary Tattoo)ambayo alionekana akiipachika begani mwake .Tattoo hiyo aliyoonekana akiiweka begani mwake ilikuwa ni tattoo yenye neno laki Arabu la "ALLAH".Alifungiwa kupiga matamasha nchini huko na serikali ya raisi Yatim,na ikatoa agizo hiloni kutokana na tattoo hio
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.