Wakati tukiwa Tunatupia Mastory nikakutana na ujumbe huu kutoka kwa Mwanamuziki Lady Jd kupitia katika ukurasa wake wa Facebook ukiwa na kichwa cha habari "SIKU IKIFIKA LANGU LIWE LA RANGI HII" simulizi kamili ya story nzima kuwa nataka iweje ziko kwenye wimbo wangu mpya,Mpaka kuhusu nani awepo na nani asiwepo na nini kifanyike,Nani achukue nini na nani afanye nini..
Stay tuned