Msanii mahiri wa katika Tansia ya filamu na maigizo nchini Mohsin Awadh Dr Cheni,amesema filamu yake mpya iitwayo Returning Love ,itafanya vyema katika soko la filamu hapa nchini..Dr Cheni alisema filamu hiyo ina mafunzo makubwa katika jamii hasa jamii yetu ya Africa ya Mashariki,Amewaomba mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa maana filamu hiyo ameiandaa kwa ubora wa hali ya juu sana..na amesema mda wowte kuanzia sasa filamu hiyo itakuwa mtaani ..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








