Google PlusRSS FeedEmail

Madonna's Raising Malawi Academy for Girls

Mwanamuziki wa kike nguli wa muziki wa Pop.Madonna inaendelea na mpango wa kujenga shule zaidi ya kumi nchini malawi ikiwa ni miezi michache tangu mfuko wake wa hisani ulipopata matatizo,Mfuko wa mwimbaji huyo ya Raising Malawi {RMF}mwaka jana ,ulipanga kuanza ujenzi huo lakini ulikumbwa na matatizo ya fedha.Baada ya mradi huo kukwama Madonna aliwapiga chini wakurugenzi wa bodi ya mfuko huo wa hisani lakini sasa amebainisha kuwa lengo lake ni kujenga taasisi kadhaa za elimu nchini Malawi unaendelea kama kawaida.
 Baadhi ya michoro katika mfumo wa picha ikionyesha moja shule itakavyokuwa
Ujenzi wa shule hizo unatarajiwa kuanza Machi mwa huu na utakamilika Juni 2013,shule hizo zitakapokamilika zitawapa kipaumbele watoto wa kike,tayari mpaka sasa Madonna ameasili watoto wa 2 kutoka Malawi wakiume anaitwa David na Mercy ambaye ni wa kike...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging