Vita ya maneno imeibuka kati ya Cheryl Cole na Rapa Mc Harvey anayetamba kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mrembo huyo..Rapa huyo amedai aliwahi kuwa mpenzi wa Cheryl baaada ya mwimbaji huyo kuachana na mumewe Ashley Cole Anayechezea timu ya Chelsea..Cheryl amekana madai hayo na kuandika kupitia katika ukarasa wake wa Twitter.".Huu ulikuwa uhusiano wa kwenye kichwa chako,unavita bangi nini?"Nafikiri nilikutana na wewe mara moja au mbili kwenye matukio ya kijamii ukiwa na mkeo kwanini uzushe hayo..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








