Mara baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu,msanii Lucas Mkenda ameibuka upyaa,Akizungumza na Pro-24,amesema kwamba amejipanga na ana ukahika wa kufanya mambo makubwa zaidi,aliongeza kwa kusema "kwa kipindi chote ambacho alikuwa nje ya muziki alijifunza mambo mengi ambayo ameyafanyia kazi ana uhakika tungo zake zita boreka "ukimya wangu ulinifanya nijifunze mambo mengi nimejua nini napaswa kufanya hivi sasa hakika muziki utabadilika sana"Nice alisema mwaka huu ametamani uwe mwaka wa mafanikio kwake kimuziki,na sasa ataanza na kibao chake kipya kinachojulikana kama "Tabia Gani'na vingine vitafata..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








