Msanii Hussein Machozi amewataka wapenzi na mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwani anakaribia kutoka kwa stail ya tofauti.Akizungumza na Pro-24 amesema anataka kazi zake ziwe bora zaidi ya awali..Msanii huyo alisema kuwa mwaka huu ameibuka kwa stail tofauti kwa lengo la kuwapa raha na vitu tofauti mashabiki wake..Alisema kibao chake cha Jela Kimeanza kusikika kwenye vituo vya radio na kuonekana kwenye Tv,Kimeanza kumpati mafanikio makubwa..Aliongeza kuwa kibao hicho kimempatia heshima kwa jamii kutokana na ujumbe wa kwenye wimbo huo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








