Wanandoa hao Robin Thickle & Paula Patton wamejikuta wapo kwenye deni kubwa la dollar zakimarekani karibia $500,000 na kampuni ya IRS.Mpaka sasa wameshakamilisha nusu ya deni hilo na bado wanaendelea kushughulikia juu ya deni hilo.Kutoka na mtandao wa kimarekani wa TMZ,inaonekana kwamba wanandoa hao hawakufaili kodi ya mapato yao ya mwaka 2009 na 2010 ndo ikapelekea kuwa na deni hilo.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.