Google PlusRSS FeedEmail

WEMA AAMUA KUUZA BAR KINONDONI

Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu, amefungua baa Kinondoni, Dar es Salaam.Habari kutoka kwa vyanzo vyetu, zinapasha kuwa mkwara wa Wema wakati anazindua baa hiyo l, alianza kwa kuhudumia wateja yeye mwenyewe Wema ambaye hivi karibu alimwagana na aliyekuwa mchumba wake, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amechukua uamuzi wa kufungua baa hiyo, siku chache baada ya kuanza maisha ya kujitegemea.Tangu alipoanza kutofautiana na Diamond, Wema hakutaka kurudi nyumbani kwao, Sinza Mori, Dar es Salaam, badala yake alianza maisha ya kujitegemea kwa kupanga nyumba Kijitonyama, Jijini Dar.Wema anakuwa ni mmoja kati ya mastaa wa bongo ambao wanamiliki bar,wengine ambao mpaka sasa wanamiliki bar ni Aunt Ezekiel, Zuwena Yusuf ‘Shilole’ na Benny Kinyaiya.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging