Amanda Hokden amenisurika kufa wakati akijifungua,Tukio hilo ambalo limetokea katikati ta wiki iliyopita huko nchini uingeraza,Tayari mwanamama huyo ambaye ni jaji wa kusaka shindano la kusaka vipaji,ambaye kabla ya uzazi wake huu tayari ana watoto wawili.amesema kwa sasa hafikirii kuzaa tena kwa sasa.akizungumza na gazeti la The Sun amesema mwanzo alikuwa akifikiria kuwa na familia kubwa ila mara baada ya balaa hilo hafikirii kuzaa tena.Uchumba kati yake na mumewe ambaye ni mtayarishaji wa muziki ulidumu kwa mda wa miaka mitatu ambapo 2006 yeye Chris walifunga ndoa..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.