Nyota wa filamu nchini steven kanumba amesema filamu yake ya DEVIL KINGDOM imeingia kwenye kinyang'anyiro cha tunzo za filamu nchini ghana.
"NDUGU MASHABIKI WANGU ILE FILAMU YETU NILIYOMSHIRIKISHA RAMSEY NOUAH TOKA NIGERIA ''DEVIL KINGDOM''IMEINGIA KATIKA TAMASHA LA KIMAIFA LA FILAMU NCHINI GHANA LIJULIKANALO KAMA FESTIVAL OF FILMS,AFRICA(FOFA)TAMASHA HILI LILIFANYIKA KUANZIA TAREHE MOJA MWEZI MARCH NA LIKAMALIZIKA 4 MARCH JIJINI ACCRAH-GHANA AMBAPO MASTAA MBALIMBALI WA MOVIE TOKA AFRICA NA NJE YA AFRICA WALISHIRIKI ,KATIKA TAMASHA HILO FILAMU NYINGINE TOKA GHANA,NIGERIA,AFRICA KUSINI,KENYA,DIASPORA nk NAZO ZIMEINGIA HUMO.