Black Rhyno anatarajia kufunga ndoa mwezi 30 June mwaka huu. Black Rhyno pichani anaonekana akiwa na Mtarajiwa wake Khadija Mmbaga. Rhyno anatarajia kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa Taking Ova ambao unafanya vizuri kwa sasa katika Radio Station mbali mbali..