Google PlusRSS FeedEmail

LADY GAGA AMUELEZA OPRAH VYANZO VYA MAPATO YAKE

Mwanamuziki mwenye vimbwanga vya kila aina.ambaye anafanya muziki wa Pop Lady Gaga amekadidiwa kuwa anapata kiasi cha dola zaidi million 30 kila mwaka kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamaii Twitter.Mwimbaji huyo huwasiliana na mashabiki wa muziki wake na mashabiki huwajibika na kuichangia kiasi cha robo ya mapato yake ya mwaka ambayo ni Dolla milioni 90,imeripotiwa na jarida la Wall Street..Majumuisho hayo yamefanywa kwa kuwahusisha mashabiki wake wake wanakadiriwa kufikia 20 milioni ambao hununua kazi za mwanamuziki huyo,kutokana na dhamana aliyojijengea miongoni mwa mashabiki wake hao..wiki iliyopita mwanamuziki huyo alifanya mahojiano na Oprah Winfrey,kipindi hicho kinatarajiwa kuruka mwishoni mwa juma hili..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging