Hatimaye mwigizaji nyota Jennifer Garner amejifungua mtoto wa tatu. 39 aliolewa na mwigizaji mwenzake Ben Affeck amejigungua mtoto wankiume ambaye ataungana na ndugu zake Violet 6 na Seraphina 3 ambao wote ni wa kike.Kwa mujibu wa Tmz imeeleza kuwa watoto hao walikuwa wakiwa na hamu ya kupata kaka.Taharifa fupi iliyotolewa kuhusu kujifungua kwa Jennifer ilitolewa kwa undani na jarida la Us Weekly..Hata hivyo imeelezwa kuwa wawili hao wameshampatia mtoto wao huo jina Samuel Jennifer alifunga ndoa na Ben Affleck miaka saba iliyopita,na Agosti mwaka jana alitangaza kuwa ni mjamzito..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.