Kijana anayejulikana kama Gasper Smart amezidi kumchanganya Jennifer Lopez,baada ya juzi kuonekana hadharani 'wakitanua'kwa raha zao katika mitaa ya beverly hills, Los Angeles,Marekani.Jenifer 'j-lo' alikuwa na fulaha wakati wa matembezi hayo ya jioni, Na muda mwingi alikuwa amemkumbatia mpenzi wake huyo.Wakati mwanamuziki huyo wa muziki wa pop ana miaka 24.Wapenzi hao walikuwa na fulaha,
Na walipokuwa katika matembezi hayo na Jennifer mara kadhaa alikuwa akimshika sehemu mbalimbali za mwili wake.Smart alianzisha uhusiano na J-lo muda mfupi baada ya kuachana na mumewe Marc Antony aliyezaa naye watoto wawili mapacha.Licha ya kutengana Jlo na Antony wamekuwa wakifanya kazi pamoja' hivi karibuni walitengeneza filamu pamoja...