Mwanamuziki Jessica Simpson ameamua kufata nyao za wasanii wenzake maharufu,mara baada ya kupiga picha za utupu akiwa na ujauzito wake wa pili.Mpaka sasa wasanii ambao wameshapiga picha za utupu wakiwa na ujauzito ni Britney Spears,Christina Aguilera,Mariah Carey,Demi Moore,Claudia Schiffer ,Cindy Crawford,na wengine wengi Mwaka huu mwanamama Jessica Simpson Ametokea kwenye Jarida la ELLE Magazine..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.