Google PlusRSS FeedEmail

KANYE AITUNISHIA MISULI FAMILIA YA KIFALME HUKO LONDON

Rapper Kanye West siku chache zilizopita,ameingia katika mgogoro na familia ya Kifame huko nchini Uingerereza.inasemekana Rapper huyo ameikera familia hiyo kutokana na kufungulia muziki kwa sauti ya juu kuoka katika chumba cha hotel aliyofikia nchini humo.Rapper huyo alikodi  vyumba vyote vya juu katika hotel hiyo ijulikanayo kama Lanesborough ..ambapo yuko nchini humo kwa ajili ya shughuli za kimuziki..alipoingia katika chumba chake alifungulia muziki kwa sauti ya juu,ndipo baadhi ya wanafamilia ya kifalme wakaenda kulalamika kwa uongozi wa hotel hiyo.Hata hivyo Kanye aligoma kuomba radhi kwa kitendo chake hicho,alisikika akisema "sikuwa na kusudio la kumkera mtu mi mi sikujua kama kuna familia ya kifalme katika hotel hii..Kazi yangu ni muziki"alimalizia Kanye..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging