Mwanamuziki Rihanna ambaye tumezoea kuona katika fani ya muziki sasa mambo yamebadilika na sasa kama wasanii wengi wa muziki kukimbilia kwenye fai ya filamu hatimaye na yeye ndani.Tena cha kushangaza mwanammama huyo filamu yake hii ambayo ni ya kwanza ni kijeshi inayojulikana kama Battleship .katika filamu hiyo vita mwanzo mwisho humo ndani yuko na mastaa wengine akiwemo Liam Neeson, inaitwa Battleship.. Trailer ya filamu hiyo gonga hapo chini
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.