Muigizaji Omotola Jalade Ekeinde yuko nchini Uingereza tangu katikati ya mwezi March mwaka huu,Lengo la mcheza filamu huyo wa Nollywood kuwa nchini humo ni kuajili ya kusaini mkataba wa kucheza filamu unaokadiliwa na kitita kikubwa cha fedha..Kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari kimesema mkataba huo ulikuwa na usiri mkubwa ila kutokana mkataba kuwa wa fedha nyingi imekuwa si siri tena..Baada ya kusaini mkataba huo msanii huyo atakuwa akilazimika kwenda Nchini Uingereza kwa wiki kazaa...Mpaka sasa kuna baadhi ya watu wanasema mwanamama huyo kapata dilll ya matangazo ya Tv...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.