Google PlusRSS FeedEmail

SALE!!! SALE!!! SALE!!! SALE!!!

TAARIFA KWA WENYE MABENDI AFRICAN STARS BAND INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WA BENDI HAPA NCHINI KUWA INAUZA WACHEZA SHOW WAKE WANNE!!
1. ASHA SHARAPOVA aka CRISTIANO RONALDO TSH. MIL. 20/=
2. FASHA aka LIONEL MESSI TSH. MIL. 20/=
3. MARY KIMWANA aka VAN PERSIE TSH. MIL 10/=
4. MARIAM KIDUKU aka MARIO BALOTELLI TSH. 10/=
Je utafurahishwa na utani wa kuwanadi ma dancer wao kwenye mtandao wa kijamii,Bendi ya Twanga Pepeta inajikusanya upya baada ya kuondokewa na wanamuziki wake, lakini hivi karibuni kiongozi wa bendi hiyo Asha Baraka alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Mkasi cha Salama Jabri alisema kuwa Twanga ni kama Chuo kila kukicha kuna watu wapya wana graduate. Na kwa mashabiki wa Twanga wanasema kuwa haiwasumbui mtu kutoka kwani anatoa pengo kwa mwingine  kuonekana.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging