Google PlusRSS FeedEmail

OGE OKOYE ACHEZA FILAMU YA KUTISHA

Wakati soko la filamu zinazozungumzia mashetani au mambo ya kishirikina {Uchawi}zinazidi kupata umaharufu ulimwengini kote.hasa huko Nollywood ambako soko la filamu za kichawi na kimapenzi zinazidi kuwa na mvuto kwa wapenzi wa filamu kutoka Nollywood..Katika hali isiyotarajiwa Muigizaji nyota Oge Okoye yuko katika harakati za mwisho kumalizia filamu yake hiyo ambayo ataonekana kama Binaadamu wa kutisha..Filamu hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa filamu kutoka Nollywood.tayari filamu hiyo imeanza kuzungumziwa na vyombo mbalimbali vya Habari kote Barani Africa.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging