Mara baada ya kifo chake mwanamuziki nguli Whitney Houston,Kifo cha mwanamuziki,Whitney Houston kilichukuliwa kama ajali,Whitney alikutwa ndani ya ya maji kwenye kwenye chumba cha hotel ya Bervely Hilton February 11, 2012 saa chache kabla ya pre-Grammy party ambapo alikua aperform.Cocaine, metabolites na Marijuana ndivyo sababu kubwa zilizosababisha kifo cha The Legend Whitney Houston..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.