Google PlusRSS FeedEmail

BARNABA APATA MTOTO WA KIUME

Msanii kutoka katika kundi la THT Barnabas amenitumia picha ya mtoto wake wa kiume ambaye amempa jina la Steven Barnaba. Hii ni Exclusive picha ambayo kila mmoja wetu alikuwa akitaka kuona...Jina la Steven amepewa mtoto huyo ili kumenzi mcheza filamu Maharufu nchini ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia jana ..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging