Google PlusRSS FeedEmail

BREAKING NEWS: STEVEN KANUMBA AMEFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema msanii maarufu nchini Steven Kanumba amefariki dunia ghafla na maiti iko mochwari muhimbili. Habari zaidi kuwajia hivi punde..ila kinachoelezwa mpaka sasa ni kwamba mida ya saa saba usiku kulitokea ugomvi nyumbani kwake sinza Jijini Dar es salaam,Mwili wake ulifikishwa katika Hospitaki ya muhimbili mida ya saa 9 za usiku,na kilichoonekana ni wasanii wa wapenzi wa filamu nchini waliokuwa wakimiminika katika chumba cha kuhifandhia maiti katika hospitali kuu ya taifa ya muhimbili..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging