Google PlusRSS FeedEmail

CYRIL KUACHIA NGOMA MPYA KILA MWEZI..

Msanii anaefanya vizuri kwenye bongo fleva Cyril Kamikaze amefunguka na kusema kuwa atakuwa anatoa track moja kila mwezi na hii ni kwa ajili ya fans wake, lakini track hizo zitapatikana online tu kupitia blogs.
"Hii ni kwa fanz wote,ntakua naachia track moja kila mwezi (nikimanisha kweny internet tu) ambayo itakua kutoka kwenye mixtape,track ambayo itakua requested sana itafanyiwa video na pia kwenda hewani..so stay tuned this sunday first track itakua released kupitia blog zote na youtube.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging