Nyota katika tasnia ya filamu Nuru Nassor ‘Nora’ baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu katika mambo ya uigizaji wa filamu amerudi tena kwa nguvu zote kwa kuingia na filamu inayojulikana kwa jina la I Can’t Forgive, filamu hiyo ipo sokoni na inakimbiza filamu za wakongwe wanaofanya vizuri.Watayarishaji ambaye hakutaka jina lake litajwe katika habari amesema kuwa msanii huyo kuwa ni msanii mwenye uwezo wa hali ya juu sana na kwa upande mwingine ndiye kabeba sehemu kubwa ya filamu hiyo na kuifanya iwe ni ya kipekee zaidi. Mmoja wa watayarishaji ambaye hakutaka jina lake litajwe katika habari amesema kuwa msanii huyo kuwa ni msanii mwenye uwezo wa hali ya juu sana na kwa upande mwingine ndiye kabeba sehemu kubwa ya filamu hiyo na kuifanya iwe ni ya kipekee zaidi...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.