Google PlusRSS FeedEmail

Diddy Tops 2012 Forbes List of Hip Hop’s Wealthiest

Jarida la Forbes imetangaza majina matano ya wasanii wa hip hop wenye fedha , Alieongoza kwenye list hiyo ya Forbes ni Sean “Diddy”Combs
Wa pili  Jay- Z, 50 cent, Bryan “ Birdman” Williams na Dr Dre.Diddy aliongoza kwa kuwa na dola milioni mia tano na hamsini ($550)..Vitega uchumi vya Diddy ana kinywaji       Ciroc Vodka, kampuni ya nguo za Sean John na Enyce, Record label yake ya Bad Boy na vitu vingine alivyovianzisha ukiongezea na cable channel yake ya Revolt itamfanya awe billionaire mwaka 2013.
Jay – Z anafuatia akiwa nafasi ya pili akiwa na dola milioni mia nne na sitini ($460) kutokana mauzo ya mavazi ya Rocawear milioni mia mbili na 4 ($204) mwaka 2007. Dr Dre anafuata kwa kuwa na dola milioni mia mbili na sabini ($270) kutokana kitega uchumi chake cha Beats Electronics, 
Wakati Birdman akishika nafasi ya nne (4) akiwa anamiliki dola milioni mia ishirini na tano ($125) kwa jina lake. Na 50 cent akafunga kwa kuwa na dola milioni mia na kumi ($110) Bank. Forbes pia imetabiri kuwa Sean “ Diddy” Combs atakuwa msanii billionaire wa hip hop kwa siku za usoni..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging